TCU undergraduate guide book ya 2017/18 ishatoka ?

Hahaha..kwayho we unajua kila mtu kamaliza shule mwaka huu??? SIMPLE MINDED..usiwe unakurupuka
 
bado mpk matokeo yatoke bt chek kwny link za vyuo nd utakuta guide za kila chuo nw tcu inahuska na cut point tu.
 
Mi hemko mingi sana ndugu yangu..

Ushauri : wewe subiri tuu matokeo yatoke afu uangalie pa kwenda yaani.TCU ipo tuu toka kpindi kile na itakuwapo hadi #Rais_magufuri_amalize_URAISI_WAKE
MWAKA_2050.

Ushauri wangu siku zote ni kuwa huu ndo wakati wa kujipanga. Guidebook za mwaka wa jana zipo na prospectus za vyuo zipo kwenye mitandao.

Pitia zote elewa kile unataka kufanya, elewa vyuo vilivyopo, factor in uwezekano wa majibu kutokuwa mazuri kama ambavyo ungependa.

Majibu yatakapo toka ni rahisi zaidi kufanya maamuzi na elewa mwaka huu kila mtu na lwake usipojipanga unaweza kufanya maamuzi yatakayo kugharimu. Wakati wa kuanza ndo huu

mnaviherehere sana, ata matokeo bado unaanza kuwa na kiburii cha kuulizia guidebook...
 
Ushauri wangu siku zote ni kuwa huu ndo wakati wa kujipanga. Guidebook za mwaka wa jana zipo na prospectus za vyuo zipo kwenye mitandao. Pitia zote elewa kile unataka kufanya, elewa vyuo vilivyopo, factor in uwezekano wa majibu kutokuwa mazuri kama ambavyo ungependa. Majibu yatakapo toka ni rahisi zaidi kufanya maamuzi na elewa mwaka huu kila mtu na lwake usipojipanga unaweza kufanya maamuzi yatakayo kugharimu. Wakati wa kuanza ndo huu
Nashukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom