TCU simamieni format ya matangazo ya vyuo vikuu.

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Nimeona baadhi ya matangazo ya baadhi ya vyuo vikuu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na vyuo vyao kawa mwaka 2017/18.
Kuna taarifa muhimu hawatoi zinazomwezesha mwombaji kufanya maamuzi.
Taarifa kama: 1. Tuition fees 2. Administrative fees 3. Capacity for each course nk.
Taarifa hizi humwezesha mwombaji kujipima na kufanya tathmini kabla hajaamua kuomba chuo kipi na kozi zipi!
Pia vyuo vingelazimishwa kutumia online application ili kuwezesha mwombaji kufanya mabadiliko ya machaguo yake kabla ya tarehe ya mwisho na kuwa na uwezo wa kufuatilia wingi au uchache wa waombaji wengine kwa kozi mbali mbali.
 
Jpm alifuta udahili kupitia tcu... Tukapinga mkatuita nyumbu sasa kumekucha mwambieni tena awaagize wamiliki waweke format moja
 
Nimeona baadhi ya matangazo ya baadhi ya vyuo vikuu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na vyuo vyao kawa mwaka 2017/18.
Kuna taarifa muhimu hawatoi zinazomwezesha mwombaji kufanya maamuzi.
Taarifa kama: 1. Tuition fees 2. Administrative fees 3. Capacity for each course nk.
Taarifa hizi humwezesha mwombaji kujipima na kufanya tathmini kabla hajaamua kuomba chuo kipi na kozi zipi!
Pia vyuo vingelazimishwa kutumia online application ili kuwezesha mwombaji kufanya mabadiliko ya machaguo yake kabla ya tarehe ya mwisho na kuwa na uwezo wa kufuatilia wingi au uchache wa waombaji wengine kwa kozi mbali mbali.
TCU wameahidi kutoa admission guideline for undergraduate studies 2017. Hii itasaidia lakini ni vizuri kila chuo kiandike guide book yake (kama wafanyavyo UDSM) na waweke prospectus yao on line ili waombaji wapate taarifa muhimu kuhusu hicho chuo. Kwa applications ni vizuri wawe na online applications lakini pia kutumia hard copy forms (hii ni kwa kuanzia tu).
 
Back
Top Bottom