kiukweli niliijaza kwa kuwa sikupenda kuacha gape, ila vyuo vinne ndo nilivyokuwa na biashara navyo. Nilijua hawatafika had kwnye last choice yng but yamenikuta. Yan ni BONGE LA DISAPOInTMent
thanx for e info...lakn vip una any details kuhusu wale tuliomba kwa equivalent results i.e DIPLOMA yakwetu lini..coz tuna mapressure pia....thnx gud day:wave:
Wanauzi sana si watoe majina yote ili watu tujue tunaenda wapi tuanze kuji-adjust na mazingira ya chuo tutakachopangiwa. Tunahitaji kujua tunaenda kusoma wapi mapema tujipange.