Mimi ninachojua,ni kwamba wale waliofanya application kwa kutumia matokeo ya form six,ndio unaweza kuangalia kupitia airtell,kwa kupiga nyota,miamoja hamsin,nyota,alama ya reli.ok.alafu fuata maelekezo,utaingia login,ikifunguka,ingiza user name,ambayo ni n.yako ya form four,then neno lako la siri,ikifunguka,nenda my admssion.utaona.ila kwa sasa,itakuambia your application is successfully,proccessed.wait official annauncement!:wave: