TCU selection

kawaida hua ambao hawajawa selected show hua inabaki ivo ivo kwa mda alafu baada ya mda inaandika not selected
Kitu gani kinabaki kwa mda machaguo ? Au tangazo la kufungwa kwa udahili

Msaada Tafadhali kaka.....!
 
Natafuta wale vichwa ngumu jamani chini ya point nne(3.9) ndalichako amewapa nafasi ya kwenda degree, ,, maana niliona uzi wanasema system imekubali kuomba leteni mrejesho jamani
 
Ndugu, Mzumbe hamna hiyo course

Labda kama ni mpya ianzishwe mwaka huu lol
mkuu ata kama umemaliza mzumbe 2009 kuwaupdated itakuwa vizuri hiyo coz imeanza mwaka jana na kuna wanafunzi pale tayari wanaisoma mwaka huu itakuwa second intake
angalia guide book ya 2015_2016 na ya 2016_2017
 
Natafuta wale vichwa ngumu jamani chini ya point nne(3.9) ndalichako amewapa nafasi ya kwenda degree, ,, maana niliona uzi wanasema system imekubali kuomba leteni mrejesho jamani
yaa mwenyewe kuna wakati profile yangu ilikuwa inaingiliana na ya watu wengine, nimeingia kwenye profile za almost watu 6 na wanne Hawakuwa na points 4 nahisi ni wengi sana wameomba sijui itakuwaje kuna lecturer wa bagamoyo alisema wapo elf 16 na kama watazuiwa wote vyuo vingi vya binafsi vitakosa wanafunzi
 
mkuu ata kama umemaliza mzumbe 2009 kuwaupdated itakuwa vizuri hiyo coz imeanza mwaka jana na kuna wanafunzi pale tayari wanaisoma mwaka huu itakuwa second intake
angalia guide book ya 2015_2016 na ya 2016_2017
Ooh okay. Kama hivyo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…