kwa nini niongope na ni kwa faida ya nani kijana wangu ameangalia kama saa moja iliopita na amefanikiwa kupata chuo hapa nilipo nina furaha kweli kweli
Mwaka huu ni round moja, kwani miaka iliopita, wale wenye division 3 ndio waliokua wanasumbua. Walikua wengi mno. Ila mwaka huu kazi yetu ni ndogo sana, kwan mko wachache.