Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
TCU jamani tunaombeni angalau mseme chochote kuhusiana na second selection ya vyuo vikuu.Mbona mpo kimya sana?
Kwel kabsa icho ndio cha umuhmuMambo mazur hayataki haraka yatatoka tu.... cha msingi omba Mungu uwepo katika hao secnd selection.