BAF JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 421 Reaction score 511 Jun 18, 2017 #1 Hivi ule mpango wa kufungua Vyuo Vikuu Tanzania nzima kwa mwezi mmoja kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 upo au? Maana Nilisikia itakuwa hivyo ili kuepuka masumbufu ya Mkopo kuchelewa vyuoni kama ilivyo nyakati za Nyuma!
Hivi ule mpango wa kufungua Vyuo Vikuu Tanzania nzima kwa mwezi mmoja kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 upo au? Maana Nilisikia itakuwa hivyo ili kuepuka masumbufu ya Mkopo kuchelewa vyuoni kama ilivyo nyakati za Nyuma!