school boy
Member
- Aug 19, 2014
- 42
- 10
kuanzia mida ya jioni page ya TCU ilikua haifunguki ila NACTE ilikua inafunguka lakini mda sio mrefu tena nayo NACTE haifunguki au ndo wamefunga kabla ya tarehe 5
kweli mkuu na TCU ndo wamezidi hata hawaeleweki wanaweka niniPoyee ndo matatizo ya Website zetu za kibongo i. e watu hawapo serious
[View attachment 374538me si jaelewa hapo wadau
Yaani kwa wote kila ukijaribu inagoma sijajua wanarekebisha nini hata kutoa tangazoMi nlzani tatzo lipo kwangu tuu?? Hii ndo Tz