robby klax
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 281
- 122
Eeh bwana eeh mme mpanikisha dgo daah c ni bora 2liokosa first round 2 nasubiria pharmacy kiu
St John'sWakuu, kwanza niwasalimu.
Mimi ni PCB na nimebahatika kuchaguliwa katika FIRST ROUND ya TCU nipo hapa nikisubiri confirmation kutoka vyuo tajwa hapo chini.
Wakuu nakaribisha maoni;
Anayeweza kuotea nitakuwa nimechaguliwa wapi namkaribisha.
ANGALIZO; Ambaye ataona hii post imemboa naomba asichangie.
1. MUHAS............Histo technology
2. St. JOSEPH......MD
3. KAIRUKI...........Nursing
4. St. JOHN...........Nursing
5. SUA...................Bio-processing
Karibuni tupunguze stress.....[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
DuuuMuhas Histotechnology ushaipata mkuu.
Ila iyo kozi mbaya balaa nani alikwambia uijaze.
Uwaga hainaga compttn mkuu.
Last yr ilichukua had wenye dvsn4.
Ukienda hyo koz kwenu ukiulizwa wadanganye napiga MD muhas.
Hata apo Muhas watu wa hyo kozi hawanaga madarasa ya kusomea.
Nlichaguliwa hapo last yr hyo hyo histotechnology nkaacha nmeaply huu mwaka nmempata chuo kingne koz nzur tu.
Na hope tutakutana Hapo mkuuEeh bwana eeh mme mpanikisha dgo daah c ni bora 2liokosa first round 2 nasubiria pharmacy kiu
Mkuu ubaya wa hio kozi ni upi??Muhas Histotechnology ushaipata mkuu.
Ila iyo kozi mbaya balaa nani alikwambia uijaze.
Uwaga hainaga compttn mkuu.
Last yr ilichukua had wenye dvsn4.
Ukienda hyo koz kwenu ukiulizwa wadanganye napiga MD muhas.
Hata apo Muhas watu wa hyo kozi hawanaga madarasa ya kusomea.
Nlichaguliwa hapo last yr hyo hyo histotechnology nkaacha nmeaply huu mwaka nmempata chuo kingne koz nzur tu.
St. Joseph MD. Muhas wakikutema huwezi kuvuka St. Joseph ukizingatia kuwa hicho ni chuo cha private na tuion fees iko juu sana hivyo kuhitaji kuingia mfukoni kujazia. Haina ushindani na hakikujaa first round!
Future inayo Sana na wako wachache! Uliza uambiwe!hawa wanafunzi wa siku hizi wanapenda tittle za chuo kuliko course ambazo wanaenda kusomea, ilimradi tu na yeye aonekane anasomea MUHAS au UDSM, ndo unakuta mtu anaishia kusoma likozi halina hata future
D ya physics imekupiga pini,ungepata endapo somo mojawapo kati ya kemia au bio ungepata above C ili kuziba pengo la D ya physicsWakuu MUHAS vp??
Siwezi pata pale??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha uongo wewe wadanganye first year wenzako yani watoto wa siku hizi kila wanachoambiwa wanakubali, muhas hamna kozi wanayosomea nje, una udhibitisho wowote kuwa MUHAS hawana madarasa? Nani alisomea nje kwenye vimbweta akanyeshewa na mvua? Bila akili wenzako na wanakusapoti bila kupima ukweli wa maneno yako. Acha kudanganya watu. Unaijua muhas kweli wewe? ushawahi kufika hata maeneo ya chuo hicho kilipo? Au unasikia tu watu wakisema. cut off point ya kozi muhas wanazochukua ukiangalia kwenye guidebook kuna mwenye division 4 anaweza kupata kozi yoyote pale japo pia mwaka jana matokeo hayakua katika mfumo wa divisions?
Nyie first year kuweni makini kipindi hiki kila mtu anajifanya mjuaji, kuwa anajua chuo flani na kozi flani mwisho mtapotea wote. Akili za kuambiwa changanya na zako fanya utafiti kwa watu wawili au watatu zaidi ndio mjiridhishe kwa taarifa yoyote