Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,578
- 7,281
Fikiria majibu ya F6 yametoka 11.07.2019 lakini TCU bado hawajaweka Admission Guidebooks hewani. Pia walifungua dirisha dogo kwa waombaji waliomaliza masomo miaka ya nyuma lakini hakukuwa na guidebooks. Walituarifu guide book zingetoka June 10, 2019 leo mwezi umeshapita. Kipi kinaendelea na je tatizo la multiple selection mwaka huu watalitatua vipi? Au tutegemee majanga tena?