Muombee batch two katika vyuo visivyo na ushindani Kama TEKU nkMwanangu ana division 2 EGM.nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali.nashangaa sioni alikochaguliwa.je amekosa nafasi? hana sifa?au nimekosea kutuma?je kuna majina mengine au nifanye nini.nilituma application on line na ilikuwa succssful.wajuzi naombeni ushauri way forward.mtoto yupo JKT.
Shida inawezekana ni uchaguzi wa kozi uliofanya dhidi ya passmark ya mtoto ambayo labda inakwama kwenye ushindani. Kwa mfano ukichagua kozi ambayo wengi walioomba kozi hiyo wana division one, ni wazi kuwa mwanao mwenye division two atashindwa kupenya kwenye ushindani.Mwanangu ana division 2 EGM.nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali.nashangaa sioni alikochaguliwa.je amekosa nafasi? hana sifa?au nimekosea kutuma?je kuna majina mengine au nifanye nini.nilituma application on line na ilikuwa succssful.wajuzi naombeni ushauri way forward.mtoto yupo JKT.
Muombee ww. Ata pata tu. Omba course anayo penda mtoto. Usibabaishwe eti Competition ya Course.mtoto yupo JKT
Ana 2 ya point ngapi? Je,principles zake zipoje?Mwanangu ana division 2 EGM. Nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali, nashangaa sioni alikochaguliwa.
Je, amekosa nafasi? Hana sifa? Au nimekosea kutuma? Je, kuna majina mengine au nifanye nini.
Nilotuma application online na ilikuwa succssful. Wajuzi naombeni ushauri way forward, mtoto yupo JKT.
umeangalia moja kwe moja kwe vyuo au majina waliotoa TCU?Mwanangu ana division 2 EGM. Nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali, nashangaa sioni alikochaguliwa.
Je, amekosa nafasi? Hana sifa? Au nimekosea kutuma? Je, kuna majina mengine au nifanye nini.
Nilotuma application online na ilikuwa succssful. Wajuzi naombeni ushauri way forward, mtoto yupo JKT.