TCU is a really ****en place


Sina tatizo na internet, nina internet masaa 24 na iko fasta, ni tatizo la system yao.
 
kosa sio lao tatizo matamko jaman niweke wazi pale pia kuna dili linachezwa hatali na hao ma it wao wana mpiga mtu ata lak 2 zen wana mpa chuo hvi huu ukiritimba mpaka lini niwe muwazi ile idadi waliyotoa kwamba ndo wamedahili wana funzi 68000+ wapo pia wadili wasiopungua 5000+ na ata sasa ukiwafuata watakwambia muda umeisha subiri mwakani very sad kwa kwer hii commision ivunjwe tu jaman haina weledi kabisa kosa namba moja waliloenda op ni kukubali gia angani za ndalichako mbona 2014-2015 kulikuwa na msimamo wa dhat kwa tcu ni vile necta waliweka principle ni c uku tcu wakifanya principle kuwa d na bado mikopo vijana wakalamba ya kutosha........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ