Bila kufanya hivyo course nyengine zitakosa wanafunzi, usishangae kuona hivyo, kama hujaridhika unaweza kukata rufaa, jinsi gani ya kukata rufaa kwakweli hapo sijui onana na wadau wa TCU.
daah me corse zangu mbili za chaguo la kwanza kutoka ardhi university wameniachia vile vile, ila hzo zngne tatu zilizobak majangaa wameniwekea macorse ya ajaaaabu!! nashndwa kuwaelewa hawa jamaaa cjui vp?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.