mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Mi nmeota labda haya magumash wanayafanya ili MKULU AWAONEE HURUMA ili ajue HUU MFUMO NI MBOVU ili MFUMO WAO WA ZAMANI URUDISHWE waendelee KUPIGA PESA kutoka vyuo dhaifu najiuliza Kwann wasitoe majina ya watu ambao ni cont kuonesha kuwa wanakigezo kuchaguliwa chuo walichoomba,kuliko kuwapiga chn kabisa maana unashindwa kuelewa kuwa pengine unakuta huna kigezo,
TCU baada ya kuzuiwa udahili naona hasira zao wanamalizia kwa waombaji tena wenye sifa kamilifu ili watu walalamike uonekane hii system haifai warudishiwe wao waendelee kupiga pesa za hongo vyuoni
TCU baada ya kuzuiwa udahili naona hasira zao wanamalizia kwa waombaji tena wenye sifa kamilifu ili watu walalamike uonekane hii system haifai warudishiwe wao waendelee kupiga pesa za hongo vyuoni