samtq New Member Joined Oct 29, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Jul 21, 2015 #1 Hizo 50000 zinafanya kazi gani? Helpdesk hawana weledi wa kazi unampigia simu anapokea na kuikata mnawakatisha tamaa vijana kufanya application
Hizo 50000 zinafanya kazi gani? Helpdesk hawana weledi wa kazi unampigia simu anapokea na kuikata mnawakatisha tamaa vijana kufanya application
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,404 Jul 21, 2015 #2 anapokea, anakata cm. bila ya kuongea!!?. huo ndio utendaji wa mswahili. tafuta njia mbadala. utatue jambo lako.
anapokea, anakata cm. bila ya kuongea!!?. huo ndio utendaji wa mswahili. tafuta njia mbadala. utatue jambo lako.