tcu hacked

Dah kaz ipo kwa it wa kitz
ningefurahi zaid kama ingekuwa ya Wizara ya sayansi na teck'
 
weak system security, admin page is unlocked and so people can try to login from any host. only need to find credentials
Admin area would be set accessible only through trusted hosts and NOT from anywhere

TCU - Login Screen
 
ha ha ha eti kwamba ni administrator tu ndo anaweza kaka hivi hujui ishu ya php injection
 
Hawa jamaa maboya hawajui ke encrpypt page zao yaani sql+ php zinaachwa kiuvivu ivyo cheki ma facebook yaana anza na https:// ... means encpeypted ......si rahisi kuhack kimchezo ...thank u hacker
 
Si mnatunyima kazi, madOkita wakidai haki zao mnawatupa mabwepande, walimu kesi, iko mahakaman, majudge fake, Subirien na sisi huku tuhack maledger book yenu ndo muipate fresh.
 
Si mnatunyima kazi, madOkita wakidai haki zao mnawatupa mabwepande, walimu kesi, iko mahakaman, majudge fake, Subirien na sisi huku tuhack maledger book yenu ndo muipate fresh.

hahaha relax bro!
 
mnajua ni upuuzi huu. Watu wakihack tcu at the end nani anafaidika??? Mnaona kama mnaikomoa serikali kumbe mnamkomoa mtoto wa mkulima. let say mtoto wa kigogo amepata 3 na hana sifa ya kuchaguliwa tcu na kaona hii thread tcu ipo hacked so anaweza eka uwezo wake wote ili ampate hackers ili aekwe na yeye kwenye majina ya waliochaguliwa

Mwenzangu na mimi maskin yupo kijijni hajui kinachoendelea anaambia hujachaguliwa na division one anabaki nyumban hana hata wa kumtetea.

Msishabikie vitu kama hivi
 
Si mnatunyima kazi, madOkita wakidai haki zao mnawatupa mabwepande, walimu kesi, iko mahakaman, majudge fake, Subirien na sisi huku tuhack maledger book yenu ndo muipate fresh.

Aliyehack TCU sidhani hata kama alishawahi kufika Tanzania!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…