Samir7900000
Member
- Jul 26, 2016
- 52
- 26
Habarini ndugu JF, mm ni mwanafunzi chuo kikuu naingia mwaka wa 3 nasoma Bach in education ya science based only in biology. Matokeo yangu form 6 ya 2014 nilikuwa na B- Biology, D-chemistry na E-physics yaani PCB. Sasa mama ndalichako ananiumiza kichwa kwa kusema anatuondoa tusio na CC mbili, nili apply kulingana na guide book inavosema ili mtu kupata chuo you must have D's mbili, pia katika taarifa yake kasema kama hatuna vigezo hivo tusiendelee kupoteza muda na pesa zetu. Je ushauri wenu ni upi kwangu? Mwakani mwezi wa sita inabidi nigraduate. Mawazo yenu yanahitajika, pia rejea hii guide book nimetake screenshot sehemu husika ili upate majibu zaidi. Shukrani.View attachment 371974
Huyu hawezi kutimuliwaWakiwatimua nendeni mahakamani, waache kufanyia majaribio maisha ya watu.
Ahsante mkuu. DoneOkay,
Bios - 3
Chem - 1
Jumla 4.0 endelea kupiga kitabu mkuu
Vipi, una swali lingine?
Kabisa wanataka kututesa.Wakiwatimua nendeni mahakamani, waache kufanyia majaribio maisha ya watu.
Ahsante.seenHuyu hawezi kutimuliwa
Tafuta mwana sheriaHabarini ndugu JF, mm ni mwanafunzi chuo kikuu naingia mwaka wa 3 nasoma Bach in education ya science based only in biology. Matokeo yangu form 6 ya 2014 nilikuwa na B- Biology, D-chemistry na E-physics yaani PCB. Sasa mama ndalichako ananiumiza kichwa kwa kusema anatuondoa tusio na CC mbili, nili apply kulingana na guide book inavosema ili mtu kupata chuo you must have D's mbili, pia katika taarifa yake kasema kama hatuna vigezo hivo tusiendelee kupoteza muda na pesa zetu. Je ushauri wenu ni upi kwangu? Mwakani mwezi wa sita inabidi nigraduate. Mawazo yenu yanahitajika, pia rejea hii guide book nimetake screenshot sehemu husika ili upate majibu zaidi. Shukrani.View attachment 371974
Hilo pia nataka kujua, je wakulaumiwa mm au wao walioleta kitabu? Mm sina [emoji52]Na alie na two D's kama kitabu kivyokua kinaelekeza inakuaje hapo .....ama inategemea na mwaka uliomaliza ....
Tunasubiri tukitimuliwa tujoin kieleweke.Tafuta mwana sheria
Ahsante kaka kwa wazo nzuri. Hiki kitabu ninacho ndio nilichotumia apply siwez kukifuta kwasababu kwenye page ya TCU hakipoKwanza ushauri wangu tunza hiyo guidbook kama unayo ili iwekigezo baadaye kuwashitaki.Ila piga book.Hata wale diploma bado waangalia namna yakwenda mahakamani
Nakuomba unitumie hicho kitabu kkAhsante kaka kwa wazo nzuri. Hiki kitabu ninacho ndio nilichotumia apply siwez kukifuta kwasababu kwenye page ya TCU hakipo
Nipe your phone/emailNakuomba unitumie hicho kitabu kk
Udikteta uchwaraNdo maana Chadema tumeleta UKUTA ili kupambana na udikteta kama huu
Ahsante mkuuKama unakidhi vigezo kutokana na guide book ya mwaka wako ulio apply , basi your safe .....
We uko salama , guide book ya mwaka huu haikuhusu coz teyari upo kwenye system ...labda ungekuwa una apply mwaka huu apo ndio tungekutafutia mbali aisee...