Kumjazia mtu hilo sio tatzo,
Sasa wewe unataka kubadilisha mada yau huyu Ndugu mwenye uhitaji wa msaada. Ukiona huna point ni afadhari upite mbali na sio kuandika upuuzi.
Kaka kwa kukusaidia jaribu kutulia kwa mda afu jaribu tena. Jana kuna mtu alakua amepatwa na tatzo kama lako ila baada ya mda kidogo mambo yakakaa vzuri. Nadhan jaribu kufuata maagizo ya huyo mdau wa kwanza kabsa hapo juu.
Ni hayo tu.