Kama ni kweli bhas kazi, watachaguliwa wapi wakati vyuo karibia vyote vitakuwa vishagunguliwa? Anyway tusubili tuone,
Kama hao walochagiliwa wamekosa mkopo hawa wa 4th round kulikoni!
naishangaa sana TCU kuna watu waliomba coz katika vyuo wanavyovipenda but leo mtu anashangaa kukuta coz aliyoihitaji bado ina nafasi za watu ku apply wakati kunawatu walikua na vigezo na wakashindwa kuwachukua??
TCU you must change kwa kweli what your doing is not fair.......!!
Mkuu unauchungu sana, ni kweli hii serikali haishauriki ni bora 2lete tifu kdogo patasomeka, ujue kile chuo wa2 wa kwenye vitengo ninamashaka na elim zao kidizaini kama wamepelekwa bila qualifications! Manake hawajielewi kabisa