26 number JF-Expert Member Joined Jun 3, 2016 Posts 336 Reaction score 133 Oct 21, 2016 #1 Ivi awa TCU wanaaminisha nini kwani eti wanafungua round ya 4 kwa ajiri ya watu waombe vyuo Tena ilihali majibu ya round ya 3 awajato?
Ivi awa TCU wanaaminisha nini kwani eti wanafungua round ya 4 kwa ajiri ya watu waombe vyuo Tena ilihali majibu ya round ya 3 awajato?
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,550 Reaction score 2,200 Oct 21, 2016 #2 Hawajielewi
M mashishanga JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 611 Reaction score 429 Oct 22, 2016 #3 ni mtihani ila inaonekana vyuo bado vinaitaji wanafunz
daniel enocy JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 380 Reaction score 413 Oct 22, 2016 #4 hawa akili hawa bora kipindi cha jk