TCU: Admission capacity = 0

TCU: Admission capacity = 0

kweli mkuu hata mimi nimekutana na jambo hilo..wenye uelewa na hili tafadhali atujuze.
 
Hivi bado kuna watu mnaomba Kampala university?
 
Mara nyingi data base yao huwa haipo poa kwani mwisho wa siku itakuja kudisplay tu
 
Back
Top Bottom