Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekanusha onyo lililodaiwa kutolewa na mamlaka hiyo likionya vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za uhaini ambapo imesisitiza kuwa taarifa hiyo ni Potoshi.
Soma TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za uhaini
Soma TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za uhaini