Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 7,924
- 7,392
Mkuu mambo usiyoyajua bora ukakaa kimya tu na kuwa 'mpenzi msomaji' ili kuficha ujinga wako.
Unaelewa kwanza maana ya end-to-end encryption?
is a system of communication where only the communicating users can read the messagesMkuu mambo usiyoyajua bora ukakaa kimya tu na kuwa 'mpenzi msomaji' ili kuficha ujinga wako.
Unaelewa kwanza maana ya end-to-end encryption?
Upeo gani unaouzungumzia!?? Umekula BANGE iliyochacha wewe!!Watu weusi bhana.
Haya mambo yapo juu ya upeo wako!
Kwahiyo unadhani upo salama!
Idiot.
Kejeli tu!Hajui lolote huyu, anafikiria install spy apps kwenye simu ya demu wake ndio udukuaji. Sasa si kila mtu angekuwa hacker 😂😂😂
Hiyo whatsapp yenyewe si umeletewa na hao wazungu!! Unda ya kwako tuone ujuzi wako! pumbaffu!Kejeli tu!
Jitu jeusi ushajiwekea ukomo wa kujifunza.
Huna jipya
Unataka ninachokijua Google wasiandike?all hail google c&p
I wonder when you acting as you know me!Hiyo whatsapp yenyewe si umeletewa na hao wazungu!! Unda ya kwako tuone ujuzi wako! pumbaffu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mitambo ni how to get a public and private keyAu hiyo mitambo yao ni ya aina gani?
Huwezi.. Kuscan WhatsApp web sio kudukua... Waafrika ujinga mtaacha liniUsiwe mweupe kichwani
WhatsApp yako hata Mimi nadukua.
As long as unatumia mitandao/simu haupo salama.
You know nothing man, you need to come to terms with that fact.Unataka ninachokijua Google wasiandike?
Hahaha chalii jinga sana hili.
Unajua maana ya end-to-end encryption wewe. Wacha sifa za kijinga
U look like very bright man.You know nothing man, you need to come to terms with that fact.
Naona nimekuwa topic lengo tufike kwenye ..... 'Tufundishe'Huwezi.. Kuscan WhatsApp web sio kudukua... Waafrika ujinga mtaacha lini
Sent using Jamii Forums mobile app
The fact umeongea ujinga kwa vitu usivyovijua inaonyesha hujui chochote na ni mjinga tuuU look like very bright man.
But ujitu jeusi unakuchanyanya!.
Jikite kwenye maada siyo kudhambulia maoni yangu chalii.
Maoni yako yaheshimiwe tafadhali!Whatsapp na Telegram huwezi kudukua mawasiliano hata iweje.
Sent using tekino
Hutafika popote kama umejiwekea uzio katika kufikiri&kujifunza.The fact umeongea ujinga kwa vitu usivyovijua inaonyesha hujui chochote na ni mjinga tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika science hatu deal na opinions man, we deal with facts only.U look like very bright man.
But ujitu jeusi unakuchanyanya!.
Jikite kwenye maada siyo kudhambulia maoni yangu chalii.
Nisamehe.. Same next time uliza imakaaje hiyo ishuHutafika popote kama umejiwekea uzio katika kufikiri&kujifunza.
Ujitu jeusi unakutesa.
Wewe hujui lolote na unajifanya mjuaji, nyie ndio mnaomjaza ujinga jiwe!M
Maoni yako yaheshimiwe tafadhali!