TCRA Wananchi tunaibiwa ninyi mpo kimya

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Leo ni hoja mbili moja ni juu ya kampun ya Azam max app.

Azam max App kwa muda Sasa wamekua wakitudanganya Wana nchi kua Kama Una kifurushi chako na umesha kilipia unaweza kujiunga kwenye sim yako kupitia azam max app na unaweza kuona chanel ambazo umezilipia kwenye kingamuz chako kitu ambacho Sio kweli.

TCRA ni wazi kabisa kua Azam tv wanatuibia Wananchi kwa kutudanganya kwamba tuki danload App Yao za Azam max tutaweza kuona vipind vyao katika sim zetu kitu ambacho ni uongo sababu ukisha ipakua app Yao. Watakupa option mbil moja uingize kadi Kama huna kadi itakubid ulipie kifurushi.

Na ikitokea ukaingiza namba ya kadi Basi jua kabisa huto ona chochote kile labda uamuae kulipia Tena kwenye sim yako kitu ambacho ni tofauti na wanavyo tutangazia Kama hawawez kusema ukwel wabadilishe namna ya kuitangaza app Yao wanaweza kusema app yetu itafungunga endapo utanunua kifurushi kwenye Sim yako. Ivyo itakua poa na haki sababu mtu ataipakua app Yao akijua kabisa ili aweze kuangalia channel lazima alipie Tena na Sio kuingiza namba za kadi zake

Pia swala lingine ivi ni haki mteja kupiga customer care katika kampun au taasisi yoyote hata Kama anaitaj udum ya kiufund mteja kutumia charge yake?

Hii haiko sawa sababu Kama mteja naitaji kusaidiwa hata Kama iwe dharula lazima niwe na salio kwenye sim yangu bila ivyo sipat uduma vip hii ni haki?
 
Ili zoezi la usajili laini kwa vidole nilakuangalia upya.kuna watu wanachezea mamlaka ya sheria

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Haya makampuni ya huduma za ving'amuzi na simu yashakua tatizo,halafu washamba wachache wakiona watu wanatoa malalamiko yao kuwa huduma mbovu wanasema watu wanalia lia.
 
Back
Top Bottom