mbona mimi hapa nacheki hiyo tv imaan ama ving'amuzi vyenu hamjavipigisha shoti ya umeme???:shut-mouth:
Wadau,
Kuna sintofahamu inaendelea Tanzania kwani ile TV Imaan inayorusha matangazo yake kutoka Mji kasoro bahari imefungiwa na TCRA kwasababu ambazo mpaka sasa hazijajulikana !
Naomba mwenye ukweli hasa wa sababu iliyopelekea kufungiwa ni ipi atujuzeee !