TCRA: Vifurushi vyote kwa mitandao yote vimerejea

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imesema vifurushi vyote vimerudi kama awali.
Hivyo ukipata changamoto au ukiona vifurushi vya zamani havijarudi wasiliana na TCRA
 
Vimerudi!? Lengo lenu mnataka kumdanganya nani? Aliewatuma mvirudishe au sisi warumiaji!?

Hawa ni voda. Hapa moro mjini.
Screenshot_20210429-203251_Phone.jpg
 
Back
Top Bottom