TCRA: tunaposema simu bandia tunamaanisha ivi;

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
"Ni kopi za simu ambazo ni maarufu na zenyekupendwa na watu ambazo zimetengenezwa na matilio ya kiwango cha kati ambazo hazijakuwa na leseni ya kampuni husika.

Ambazo nyingi zimetoka China na baadhi ya nchi za Asia bila kusahau Nigeria na Afrika kusini".
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    31.7 KB · Views: 21
Back
Top Bottom