ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,950
- 6,981
Hawa jamaa siwaelewi kabisa. Mimi nina ving'amuzi viwili, na vyote vimeunganishwa kwenye tv yangu.
Kinachoamua nilipie kipi, ni huduma nayohitaji kwa muda huo.
Nikihitaji mipira ya ndani, nalipia Azam.
Nikihitaji habari mbalimbali, nalipia startime.
Sasa swali langu ni FTA services. Hawa wanaojiita pay tv, yaani azam, wamegoma kuziingiA channel za itv, eatv, chanel 10, clouds, wasafi kwa kuwa zina leseni ya FTA. Channel pekee iliyopo huko ni ua matangazo channel 100, na tbc1 pekee. Na hapa sijalipia mwezi sasa, lkn tbc1 wapo hewani.
Ugomvi wangu leo ni startime, shirika.la serikali kwa asilimoa fulani. Leo nimaliza furushi lao, lkn cha kushangaza, channel pekee iliyobak, ni channel 099, ambayo ni matangazo yao tu.
Hata tbc1 ambayo ni FTA, haipo na wala zile FTA channel nazo hazipo, hivyo ni kama tumepigwa chenga.
Sasa FTA ni nini hasa?