R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,860 Reaction score 101,133 May 17, 2017 #1 Unajiunga halichachi dakika 25 for 1,000 Tsh. Hupati dakika 25 . Zinaisha kwa less than 25 minutes. Sijui mitambo wameiset vipi kufanya wizi wa namna hiyo!TCRA make a folow up of this theft!
Unajiunga halichachi dakika 25 for 1,000 Tsh. Hupati dakika 25 . Zinaisha kwa less than 25 minutes. Sijui mitambo wameiset vipi kufanya wizi wa namna hiyo!TCRA make a folow up of this theft!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,431 May 18, 2017 #2 wanakera mno hao tigo, acha tu.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,142 Reaction score 166,071 May 18, 2017 #3 Joseverest said: wanakera mno hao tigo, acha tu. Click to expand... TCRA ndio wana kera zaidi TCRA ndio wanafuga uozo wa makampuni ya simu
Joseverest said: wanakera mno hao tigo, acha tu. Click to expand... TCRA ndio wana kera zaidi TCRA ndio wanafuga uozo wa makampuni ya simu
Don255 JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 1,069 Reaction score 854 May 18, 2017 #5 Jaza ujazwe....wajanjawajanja sana hawa watu mb70...unadownload picha ya kb 57...unatumiwa sms...umebakiwa na mb50...,mara hoooo huna mb za kutosha
Jaza ujazwe....wajanjawajanja sana hawa watu mb70...unadownload picha ya kb 57...unatumiwa sms...umebakiwa na mb50...,mara hoooo huna mb za kutosha
M malemwa JF-Expert Member Joined Jan 19, 2017 Posts 205 Reaction score 139 May 18, 2017 #6 Ahaaaaaaaaa!!! Ndo Bongo TcRA wanauska na wachora katuni za Raisi tu
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,441 May 18, 2017 #7 huko rwanda leo serikali imepiga fine MTN ya 7mil $ kwa kukiuka masharti ya utendaji!
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,922 May 18, 2017 #8 Mitandao ya simu ya Tanzania inaendeshwa kilevi kama HALOTEL na skendo yao,inchi maskin maskin tu,..
N ngapoleka Senior Member Joined Mar 20, 2013 Posts 143 Reaction score 64 May 18, 2017 #9 Mimi nimeacha muda kutumia bando zao wezi saaaaaaaaana
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,039 May 18, 2017 #10 Tigo hata salio kwenye line yako ikibaki na salio lazima wailambe
pricaso JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 249 Reaction score 298 May 18, 2017 #11 Tigo ni mtandandao wa kiboya sana niliachana nao rasimi Mimi.
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,423 Reaction score 21,578 May 18, 2017 #12 Tena usiombe UKOPE BANDLE..muda wa maongezi..dk 0 zimeisha
Certified Hater JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 2,009 Reaction score 4,379 May 19, 2017 #13 hawa tigo ni wezi hakuna mfano .yani ni wezi wa wazi wazi