Madish Installers
Member
- Aug 16, 2020
- 37
- 48
Kifurushi kikiisha TBC1 inabaki na ikitokea kwako inakata ni issue ya system kufail.. unachopaswa kufanya ni kupiga huduma kwa wateja wanaifungua dakika hiyo hiyo!Habarini ndugu zangu, hawa Dstv ukiishiwa kifurushi tu hata tbc wanafunga.
Sasa washauriwe au kuamliwa wasitudharau.
Tcra kazi kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
