TCRA tazameni sasa hawa Dstv

TCRA tazameni sasa hawa Dstv

wa ajabu sana hawa ,
kweli nilitegemea hata channel za michezo ziwe free air kwa kipindi hiki cha corona
 
Nimetumia ving'amuzi kadhaa
Ila DSTV tamu aisee!Wewe na pesa yako tu!Ukiendekeza unaweza jikuta siku nzima unashinda ndani kutazama TV!
Mimi ni mpenzi wa documentary za wanyama, michezo na action movies!
Ukiwa na DSTV huna haja ya kutafuta deck sijui vitu gani
 
Sio DSTV tu hata king'amuzi cha ZUKU hata sielewi hii sheria haihusu kampuni zote?
 
Yani povu lote ilo kumbe unaililia TBC. Niliacha kuangalia TBC baada ya Tido Muhando kufukuzwa mwaka 2011. Mpaka leo sijawahi kuangalia sambamba na Clouds .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom