TCRA na Polisi hivi mmeshindwa kabisaa kuwadhibiti hawa matapeli?

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,439
859
Kuna sababu gani ya TCRA kuendelea kuwepo na kula mishahara ya bure iwapo mnashindwa kukamata hawa matapeli?

Kila mara mnatujazia sms tuwatumie namba za hawa watu tumetuma wee lakini hakuna jipya hii namba nimewatumia zaidi ya mara 10 lakini hadi leo bado ipo hewani.

Mnashindwa nini kuwakamata waliowasajilia laini hawa matapeli kweli wakati makampuni yanajulikana?
2021_09_07_14.30.42.jpg
 
Simu yenyewe ukiibiwa hata ukiwa na IMEI ukafuatilia polisi na TCRA hawana msaada wowote hatakama bado ipo hewani kwa lain ileile. Utazungushwa zungushwa wee mwishoni unaambiwa haisomeki na hapo umeshachoma pesa za kutosha. Kiufupi ni taasisi za kupambana na wanaoichafua serikali au kuikosoa na upinzani. Ukitaka kuamini, jaribu uone kama hujakamtwa hata ukiwa sitimbi ndanindani huko utasomeka dakika sifuri
 
Back
Top Bottom