TCRA na mitandao ya simu mupo wapi?

X.800

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
252
Reaction score
203
Nimeona kwenye group mdau kashare jinsi alivyotapeliwa na jamaa anaeitwa haji seleman mwenye number 0715462543,
analia lia kwa uchungu,hivi TCRA mko wapi mpka mtu anajitambulisha kwa jamii kuwa anatoa ofa ya dakika au GB za data, kila mmoja na akili yake wengine wanaingia kingi.. Kuweni makini na utapeli wa mitandaoni.
 

Attachments

  • utapeli.jpg
    68 KB · Views: 68
Mtk bundle zipo kweli ila wengine wanashindwa kutengeneza kwa wingi inakwama sasa hapo ndio utapeli unapoingia wakikwama kuexcute data hacking
 
unakuta masters degree holder anataka bandle za bure
 
Hao wanaouza hivyo vifurushi siwaaminigi labda awe ni mtu unayefahamiana nae na kumuamini, inatakiwa akupe huduma kwanza then ndo ulipie...Sioni lawama ya TCRA hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…