Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Kigogo huwa anazungumza kwa facts yani ushahidi wa mengi anayosema anauweka na si huyu demuKwa nini awe Veronica France na sio Kwanza Kigogo? Hyo accnt ina balance mambo , wote ni wakuu wa vitengo TISS
Ushahidi? Si alisema mpango kafa? Mara nchimbi ndio makamu wa raisiKigogo huwa anazungumza kwa facts yani ushahidi wa mengi anayosema anauweka na si huyu demu
Kama wameondoa jamaa aliyejiita jiwe ni sawa tu.Tulikuwa tumepigwa kweli kweli.Anajiita Veronica France kule Facebook naona tangu Magufuli afe huyu mtu kaibuka anapambana na Kigogo ambaye anasema ni kina January Makamba,Nape Nnauye,Ridhiwani Kikwete na wote ambao wapo karibu na Kikwete mwenyewe anaita timu msogaView attachment 1743527View attachment 1743528View attachment 1743529View attachment 1743530View attachment 1743531
Kwanini wanikamate?kamateni kwanza kigogo na huyu ndio mkamate
AiseeKwa nini awe Veronica France na sio Kwanza Kigogo ?? Hyo accnt ina balance mambo , wote ni wakuu wa vitengo TISS
Hata waliokufa Kwa Ngoma wameuawa na Marope? Huyu mpuuzi kama Musiba.Kigogo huwa anazungumza kwa facts yani ushahidi wa mengi anayosema anauweka na si huyu demu
🤮🤮🤮🤮🤮Anajiita Veronica France kule Facebook naona tangu Magufuli afe huyu mtu kaibuka anapambana na Kigogo ambaye anasema ni kina January Makamba,Nape Nnauye,Ridhiwani Kikwete na wote ambao wapo karibu na Kikwete mwenyewe anaita timu msogaView attachment 1743527View attachment 1743528View attachment 1743529View attachment 1743530View attachment 1743531
Kabisa anaokoteza okoteza issues na hao wanaosakamwa na Vero ndio mtindo WA Musiba hakuna kitu hapo ni MASHUDU matupu.Kwa uandishi huo huyo ni "CYPRIAN MUSIBA".
Musiba huyo story Zake lazima amtaje Membe, Nnape, Zitto, Rizwani na Baba yake. Hakuna jipya hapo.Yaani kumbe ni kajinga ka facebook!
Wewe ni timu Kigogo alaf huyo siyo demu , wote KIGOGO na huyo Veronica France ni vigogo wa kiserikali .... Na wanayoyasema yote ni ya kweli , tofaut ni kuwa kundi la Kigogoi lianaongeza matusi na kejeli za kikabilaKigogo huwa anazungumza kwa facts yani ushahidi wa mengi anayosema anauweka na si huyu demu
Na nilishaanza kumuhisi kuwa ni yeye! Bure kabisa yuleMusiba huyo story Zake lazima amtaje Membe, Nnape, Zitto, Rizwani na Baba yake. Hakuna jipya hapo.
Najua kitambo huyu Veronica sio demu ni akaunti fake kuwazuga watzWewe ni timu Kigogo alaf huyo siyo demu , wote KIGOGO na huyo Veronica France ni vigogo wa kiserikali .... Na wanayoyasema yote ni ya kweli , tofaut ni kuwa kundi la Kigogoi lianaongeza matusi na kejeli za kikabila
Labda aliweka ushahidi 😆😆😆Ushahidi? Si alisema mpango kafa? Mara nchimbi ndio makamu wa raisi