TCRA na jeshi la polisi Tanzania kama mmeshindwa kumkamata huyu basi acheni kuwakamata Watanzania wanaosema ukweli kuhusu viongozi wa nchi yao

Kwa uandishi huo huyo ni "CYPRIAN MUSIBA", wala haihitaji hata cheti cha Form 4 kumjua. Tokea Mlezi wake afariki amekua kama kichaa, kuna wire kichwani zinagusana. Na kwa awamu hii ya 6 atakufa njaa mbwa huyo.

Ajipange apangike, hao anaowachafua watazaa nae mchana kweupe, na hivi mlezi wake wa kumkingia kifua ndio ameshakufa.
 
Wewe ni timu Kigogo alaf huyo siyo demu , wote KIGOGO na huyo Veronica France ni vigogo wa kiserikali .... Na wanayoyasema yote ni ya kweli , tofaut ni kuwa kundi la Kigogoi lianaongeza matusi na kejeli za kikabila
Najua kitambo huyu Veronica sio demu ni akaunti fake kuwazuga watz
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom