Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Anajiita Veronica France kule Facebook naona tangu Magufuli afe huyu mtu kaibuka anapambana na Kigogo ambaye anasema ni kina January Makamba, Nape Nnauye, Ridhiwani Kikwete na wote ambao wapo karibu na Kikwete mwenyewe anaita timu Msoga