relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,471
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimechoka na sms zao nitumiwazo kila siku bila ridhaa yangu utadhani simu wameninulia wao ,Nimejaribu kununua simu janja nyingine jamii ya tecno yenye kaprograme ka kublock, nimejaribu kublock namba yao sms isifike lkn wapiiiii nimechocha sasa na hawa supa5 nao kero inaendelea,kuna kipindi mliwaambia walikaa kimya sasa hizi bahati nasibu za kulazimishana zimerudi kwa kasi,Kama itakuwa wameshindikana hawa watu wa michezo ya kubahatisha yenye kero ya sms basi tubadili mfumo turudi kwenye simu za upepo tuone sms watamtumia nani.