mkalimani4
Member
- Nov 30, 2016
- 26
- 29
Mkuu natumia continental mbona naangalia channel za home bure kabisaNi takribani imepita miezi mitatu tangu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilipoagiza Wamiliki wa Ving'amuzi; Continental, Ting, Digitek na Star times waonyeshe Channel za nyumbani hata kama wateja wao hawajalipia malipo ya kila mwezi.
Agizo hilo lilifuatwa kwa muda mfupi tu na kwa sasa King'amuzi cha Continental wameachia bure Channel moja tu ambayo ni TBC.
Ninawakumbusha majukumu yenu nyie TCRA kuwa King'amuzi hicho kipigwe faini kubwa ili iwe fundisho kwa Makampuni mengine yaliochukua Leseni ya bei chee kwa masharti ya kuonyesha chaneli za nyumbani pasipo kulipisha wateja wao.
nasikia kipoHivi ni kweli king'amuzi cha continental bado kipo hewani na hali mbaya yote hii ya uchumi??!!
unatumia dish au antenna??,Mkuu natumia continental mbona naangalia channel za home bure kabisa
Itv
Eatv
Capital
TBC
Channel ten
Star tv
Proin tv
Emmanuel tv
Fire tv
N.k bureeeee
Natumia antena mkuuunatumia dish au antenna??,
vip ubora wa picha???
Wapo wanajikongoja.Hivi ni kweli king'amuzi cha continental bado kipo hewani na hali mbaya yote hii ya uchumi??!!
vp ubora wa picha???Natumia antena mkuu
Mkuu iko poa maana me natumia HDMI so inajitahid kiasi chakevp ubora wa picha???
Walikuwa wamezifungia lakini jana wameziachia kwa sisi tunaotumia dish.Mkuu natumia continental mbona naangalia channel za home bure kabisa
Itv
Eatv
Capital
TBC
Channel ten
Star tv
Proin tv
Emmanuel tv
Fire tv
N.k bureeeee
Azamu unalipiaMkuu natumia continental mbona naangalia channel za home bure kabisa
Itv
Eatv
Capital
TBC
Channel ten
Star tv
Proin tv
Emmanuel tv
Fire tv
N.k bureeeee
aaaah kumbeMkuu iko poa maana me natumia HDMI so inajitahid kiasi chake