Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 200
TCRA Ni sehemu nyingine ambayo serikali hupachika watu ili wapate mishahara na kunenepeana. It is a ceremonial institution good for conferences and symposium
Ahsante Mnyalu. Umezungumza kwa niaba yangu pia.
Hii mamlaka siyo bure; itakuwa ina maslahi binafsi kwenye haya makampuni ya simu na vilevile haya yenye ving'amzi. Inakuwaje inakaa tu kimya wakati gharama zinapanda tu kiholela?
Jana niliishiwa pozi mara nilipotaka kuunga kifurushi cha intaneti cha wiki toka airtel. Nilikuwa naamini airtel ndo wana unafui zaidi lakini nao wanazidi kubadilika. Mwanzo nilikuwa naunga kifurushi cha wiki MB800 kwa 1000/= lakini sasahivi kifurushi cha intanet cha wiki ni kuanzia 2000/= ambapo unapewa GB1
Ukienda Tigo au Voda huko ndo majanga zaidi!
Jamani kwenye ukweli tuuseme ukweli.
Kwa DSTV hata ikikata bado TBC waweza iangalia kama kawaida
Bando langu liliisha leo, nikaenda kununua vocha ya buku nijiunge. Nimeshangaa kuona hamna kifurushi cha buku, minimum sasa ni buku mbili kwa 1gb damn it!! Huku ukijiunga kawaida unapata 10mb, iwe jero au buku..pathetic toka kwa mitandao ya simu. Huku wengine wanafanya dunia iwe kiganjani, Tanzania tunataka kurudu karne ya 20.
Jamani kwenye ukweli tuuseme ukweli.
Kwa DSTV hata ikikata bado TBC waweza iangalia kama kawaida
Hakuna kinachoniuma kama gharama za Bando, japo biashara ni soko huria ila hii mitandao naona imeungana kutunyonya watanzania.
Haiwezekani bei za vifurushi ziwe Sawa kwa sasa wakati siku za nyuma kulikuwa na ushindani wa kutosha kwenye vifurushi.
Jamani kwenye ukweli tuuseme ukweli.
Kwa DSTV hata ikikata bado TBC waweza iangalia kama kawaida
Jamani kwenye ukweli tuuseme ukweli.
Kwa DSTV hata ikikata bado TBC waweza iangalia kama kawaida
Tunataka ITV, CAPITAL, EATV, CH10, STARTV, CLOUDS, TBC2 nazo tuzipate bure ndan ya DsTV coz ndo ahadi yao TCRA
We acha uongo wewe, unatumia DSTv gani? kwenye DSTV usipolipia chanel zinazoonekana ni zile za kichina basi CCTV tu.
kama haujui kitu pita tuu si lazima kuchangia mkuu, umeongea uongo.