Jana usiku nilitumiwa message ifuatayo ambayo naamini imeelekezwa kwa Waislamu.
TCRA mlishindwa kushughulikia message iliyotumwa kwa namba ya Ulaya wakati wa kampeni.Hii ya leo inaonyesha mbegu ya udini inavyopandwa na wote tunajua hatari ya udini.Hata kukemea inatosha kuliko kukaa kimya.
Mpango wafichuka!!!Chadema wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijiniDar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK.Makanisa yanaendelea na mikutano huko Mbeya.Tujipange,tuma kwa mwanaharakati unaemuamini
Aliyenitumia namfahamu nae anadai katumiwa na mwanaharakati.
Msibishe tu,El-baradey kule Misri alifanya nini? Lisemwalo lipo na kama halipo basi linajongea.Nyaraka za siri makanisani wakati wa uchaguzi sasa zikowazi.Uchochezi ni mkali kupita maelezo,mi binafsi ni Muislam na mahali pa shughuli zangu asilimia 99.8 ni wakristo kwahiyo hapa napata mengi sana tena sana.Naomba leo niishie tu hapa kwani huko tunakoelekea ni kubaya sana.

"Mpango wafichuka!!!Chadema wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijiniDar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK.Makanisa yanaendelea na mikutano huko Mbeya.Tujipange,tuma kwa mwanaharakati unaemuamini"
CCM ndio wachochezi, lakini namshukuru mungu kwamba watanzania si mabwege na wanalotaka wasambaza message hawatalipataJana usiku nilitumiwa message ifuatayo ambayo naamini imeelekezwa kwa Waislamu.