TCRA, Mimi nina ombi moja tuu kwenu

TCRA, Mimi nina ombi moja tuu kwenu

Huwa nalipia Azam kifurushi cha elfu 23 kwa miezi mi3 mi3, juzi nimelipia tena. Wakae nazo loko chaneli zao! Hapa Naangalia Yanga v African Lyon! Jana nimeangalia Taifa Stars, pia SIMBA!
Azam wako vizuri sana.
 
Tanzania kilakitu chenga, Umeme chenga, Maji chenga, Hospital chenga, Viongozi Chenga. Kazi yao kubwatuka bwatuka.
 
Hivi,wakijichunguza hao tcra hawana makosa kweli?

Kuanzisha ving'amuzi wao,

kurusu tununue tunachokitaka wao,

kulipia kwa matakwa ya waendeshaji waliruhusu wao,

kutoa leseni wao

Sasa na kutufungia wao tena.

Tena wanataka niwapelekee madai ya toka nilipoanza kulipia hizo local chanels.

Si kutaka kutusumbua tu.

Hivi usumbufu nao ni sehemu ya majukumu yao.

Sababu sikulazimishwa kulipia,pia lengo halikuwa hizo chanel zenu tu.

Kwani kila chanel kwa mwezi nilitakiwa kuilipia tsh ngapi,ili nikokotoe mapunjo hapa.
 
Back
Top Bottom