inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 635
- 705
Utapeli kwa njia ya kimtandao ya simu umekuwa ukishika kasi kila siku, kama TCRA wangekuwa kweli wana nia ya kutokomeza ama kupunguza,ingewezekana.
Wana namba yao, wanadai ukituma sms ya namba ya tapeli wanaifungia lakini cha ajabu, unaweza kutumia ujumbe na tapeli, ukatuma hizo namba kama umetuma namba 10 itafungiwa moja tena baada ya mwezi.
Je TCRA wana maslahi na matapeli hawa?