Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti.
Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
Umekuwa ukiweka pozi la vidole viwili juu (maarufu kama Peace Sign) au lile pozi la Kikorea la kusugua vidole (Finger Hearts) kila unaporusha selfie mtandaoni?
Jinsi AI Inavyofanya Kazi
Zamani, ukipiga picha kwa mbali, picha ya vidole vyako ilikuwa ikionekana kwa ukungu (blurry) kwa jicho la...
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la trh 19.2.2021 kampuni ya JUMIA inaonekana ilifungwa rasmi kutoa huduma nchini.
Ila week iliyopita niliwaona wapo active mtandaoni ikabidi niingie niangalie wana nini?
Nikakutama na bidhaa kadhaa, nikaona inafaa, nilipo order wakanipa maelekezo ya fomu...
Utapeli kwa njia ya kimtandao ya simu umekuwa ukishika kasi kila siku, kama TCRA wangekuwa kweli wana nia ya kutokomeza ama kupunguza,ingewezekana.
Wana namba yao, wanadai ukituma sms ya namba ya tapeli wanaifungia lakini cha ajabu, unaweza kutumia ujumbe na tapeli, ukatuma hizo namba kama...
Habari wanajamvi,
Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa..
Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
Na Mwandishi Wetu.
Jamii imeaswa kuwa makini dhidi ya matapeli wa mtandaoni.
Ushauri huo umetolewa na Mtaalam wa Uchunguzi wa Udanganyifu wa Kiforensiki, Rona Katuma kutoka mtandao wa Vodacom wakati akitoa 'mada njia za kuepuka matapeli wa mitandani' mapema Makao Makuu ya Ofisi za Vodacom...
Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu.
Inaumiza eeh!
Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania.
Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.