Binti Msichana
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 109
- 247
Baadhi ya Watanzania kila kukicha wamekuwa wanakesha mitandaoni kwa kutukana matusi kwa viongozi mbalimbali wa serikali .
Hali imekuwa mbaya zaidi kwa sasa kwani matusi, kashfa , kejeli na kila aina ya utovu wa nidhamu vinaelekezwa kwa rais wa JMT mh.Pombe Magufuli kupitia mitandao ya Instagram, Facebook, Twitter na mitandao mengine ya kijamii.
Cha kushangaza vyombo vinavyohusika vimekaa kimya bila kuchukua hatua yeyote.
TCRA imekuwa kimya kwa muda mrefu kukemea tabii hii isiyo ya heshima kwa Rais wetu.
Sifurahishwi jinsi kiongozi wetu alivyodhalilishwa mitandaoni.Kwani hali hii inampa stress rais wetu hivyo kuathiri utendaji wake.
Ifike mahali Watanzania tujenge utamaduni wa kuheshimu mamlaka.
Vyombo vya usalama, TCRA , na mahakama mna nafasi kubwa ya kudhibiti hali hii.
Tumechoka kuona kila kukicha rais wetu anatukanwa mitandaoni