TCRA ingilieni kati namba za kigeni zinazochafua watu

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
581
642
Kumekuwa na mtindo wa wahuni wengi Sasa hivi kujisajili Kwa namba za Nchi tofauti wakiwa wamejibanza huko kwenye mapango na kuchafua watu.

Namba hizi zinatumia Watsap tu zimekuwa kichaka cha kuchafuana na kutishiana maisha.

Ebu TCRA fanyeni msako na kuongeza ufanisi kwenye kuzuia haya mambo. Saaa hivi imekuwa fashion.
 
Usharipiti hizo namba polisi na TCRA? If not fanya haraka karipoti.
 
Kumekuwa na mtindo wa wahuni wengi Sasa hivi kujisajili Kwa namba za Nchi tofauti wakiwa wamejibanza huko kwenye mapango na kuchafua watu.

Namba hizi zinatumia Watsap tu zimekuwa kichaka cha kuchafuana na kutishiana maisha.

Ebu TCRA fanyeni msako na kuongeza ufanisi kwenye kuzuia haya mambo. Saaa hivi imekuwa fashion.
Kwani nawefisadi na umelipuliwaahali, au ndio nyie ndio mnaotamani mfanye maovu na watu wanyazishwe kuyasema na kuyapnge maovu yenu.
 
Wewe mleta mada ni mpumbavu sana. Unachoita kuchafua ni swala la tafsiri na pia sheria!!

Swala la namba za nje ni la kiteknolojia! Technolojia haiwezi kuzuiwa ili tu usiambiwe jambo kwa namna unavotaka wewe. Tafuta kazi ya kufanya badala ya kuchukia teknolojia. Nilidhani ungejikita kwenye kumshitaki aliyekuchafua kwa sababu sheria zetu hazikuruhusu wewe kumshitaki mtu aliyemchafua mtu mwingi - defamation laws zinakutaka uoneshe ulivoathirika!!
 
Kama wameshindwa kuwakamata wale wa tuma kwa namba hii na muda mwingine hiyo meseji wanatumiwa hadi wao jua kutoa taarifa kwa watu wanaoishi Canada na kwingineko ni kupoteza muda tuu hawawezi hata kuangalia wizi wa makampuni kuhusu matumizi ya bando ndio wataweza mambo ya kufatilia yanayohusu Nchi za Nje..
 
Wewe mleta mada ni mpumbavu sana. Unachoita kuchafua ni swala la tafsiri na pia sheria!!

Swala la namba za nje ni la kiteknolojia! Technolojia haiwezi kuzuiwa ili tu usiambiwe jambo kwa namna unavotaka wewe. Tafuta kazi ya kufanya badala ya kuchukia teknolojia. Nilidhani ungejikita kwenye kumshitaki aliyekuchafua kwa sababu sheria zetu hazikuruhusu wewe kumshitaki mtu aliyemchafua mtu mwingi - defamation laws zinakutaka uoneshe ulivoathirika!!
Unataka tuanze kuitana wapumbavu Kwa kuleta hoja..Hahaaaa.
Una hasira na hii hoja, Wewe ni mmoja wao
 
Haha Acha kujificha kwenye kumuweka jamaa katika kundi hilo. Kimsingi TCRA hawahusiki sana kwenye hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom