ina maana hao TCRA hawajatoa sababu za kuwaamrisha mhame hapo mjengoni? leta hizo sababu walizowapa ili tuone kama kweli mmeonewa au ndo kulalama kila siku kuwa mnaonewa? btw wishing you all the best ktk ujenzi wenu wa kituo kipya cha radio!
Ewe ndugu Muislam ili kuepuka adha hizi unaombwa
kwa hali na mali kutoa
mchango wako
fedha,nondo,mabati,cement na
vifaa vinginevyo vya
ujenzi.Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza
kupeleka mchango wako pale
studio jengo la CCM. Haya
shime Waislam huu ndio
wakati wa kuamka,tusizilalie
mali zetu.tujitahidi ili tujikomboe ili tusinyayasike.
Hivi TCRA ndo wanamiliki jengo la CCM ambamo Iqra wamo? Wao wana amri gani juu ya wapangaji wa CCM? Mimi nlidhani wamewafungia masafa!
Mleta mada kuna jambo unaficha, kuwa wazi.
TCRA inaendeleza hujuma
dhidi ya waislam
nchini,kwani kumekuwa na
tabia ya kuvibana vyombo vya
habari vya kiislam nchini
Tanzania.Mara nyingi imekuwa ni ngumu kupata
kibali cha kuanzisha chombo
cha habari cha kiislam.
Safari hii imekuwa kwa
radio ya IQRA 100.0 FM ya jijini Mwanza ambayo bado ni
mpya.TCRA wameamrisha
redio hiyo iliyopo katika jengo
la CCM kuhama kitu ambacho
kimetufanya wadau kujiuliza
maswali mengi ya kwanini radio Iqra ihame jengo la CCM?
Wakati huo huo radio clouds
wapo hapo hata kabla ya Iqra
fm,pia kuna radio passion
fm.Swali ni kuwa radio zote
hizi mbili zimekuwepo kwenye jengo hilo la CCM kwa
muda mrefu,lakini radio IQRA
ambayo hata mwaka
haijafikisha imeamuliwa
kuondoka kwenye jengo hilo
kuna nini? Ndani ya wakati huu radio
inasaka mahali pa kuhamia
japo haikushindwa kulipa kodi
ya pango,na hata kama radio
ikishindwa kulipa pango TCRA
wanahusikaje? Hizi ni fitna! Tumshukuru ALLAH kwa kuwa
radio imepata kiwanja
katikati ya jiji na mpango
uliopo ni kujenga jengo
kwaajili ya shughuli zoteza
radio.Ewe ndugu Muislam ili kuepuka adha hizi unaombwa
kwa hali na mali kutoa
mchango wako
fedha,nondo,mabati,cement na
vifaa vinginevyo vya
ujenzi.Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza
kupeleka mchango wako pale
studio jengo la CCM. Haya
shime Waislam huu ndio
wakati wa kuamka,tusizilalie
mali zetu.tujitahidi ili tujikomboe ili tusinyayasike.
Ningewachangia ingekuwa ujenzi wa shule au hospital!
Bornvilla kama walivyo watu wote wanaopenda kuponea kwenye "Public Sympathy" maneno yote kulaumu TCRA kumbe lengo anatafuta huruma ya kuchangiwa! Kwa mtindo huu sitokushangaa na kesho ukija unalia kuwa TCRA inazionea TV za Kiislam na imeziamuru kutekeleza mfumo wa digitali kabla 2012!
Mbona Radio na TV Tumaini vilivyo pale St. Joseph kwenye jengo lao wenyewe wameamriwa kuhama toka mjini na hatujasikia wala kusoma malalamiko?
Waislam bwana! Lakini siyo wote maana kuna asilimia chache sana wastaarabu
Hicho ndio kikubwa ulichokuwa unakihitaji, hayo mengine ni porojo tu....Changia kwa M-Pesa 0753-885263 Kama upo Mwanza unaweza kupeleka mchango wako pale studio jengo la CCM...