TCRA Chukueni hatua kwa watu wafuatao

TCRA Chukueni hatua kwa watu wafuatao

Hao jamaa inaonekana wako juu ya Tcra na juu ya jeshi la polisi, maana wameshindwa kabisa kuwachukulia hatua wamewaacha tu wanafanya watakavyo
 
nafikiri juzi nlxikia kuna jamaa amekamatwa na line za simu 80, na wanamhisi ndo huyo mzee wa "tuma kwa namba hii"
 
Huu Mchezo unachezwa na makampuni ya mitandao ya Simu sio rahisi sana kuwazuia.
Sote tunajua utaratibu wa kusajili laini za simu kuwa ni lazima uwe na kitambulisho rasmi je mtu mmoja anaweza vipi kumiliki laini 80 bila kutiliwa shaka? Amewezaje kusajiliwa laini zote hizo kama hana washirika kwenye hayo makampuni ya simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mchezo unashirikisha makampuni ya simu na wafanyakazi wake hohe hahe

Mfano mwezi wa kwanza nlienda tigo buguruni kurudisha line yangu......kule tgo pesa kulikua na mkwanja flani wa ada ya mtoto wa ndugu yngu niliotumiwa kama pesa yake ya ada

Cha ajabu baada ya kufanikiwa zoezi la ku renew jioni nilipata simu ikiniambia wao ni tigo makao makuu, nimeshinda milioni themanini(kumbuka nimeshinda bila kushiriki shindano lolote)

Cha ajabu zaid wakanitajia kiwango cha pesa nilichokua nacho exactly......walioga mvua ya matusi wakanirudishia na mimi matusi

Niliwaambia dhahiri nyie ni tigo buguruni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Mchezo unachezwa na makampuni ya mitandao ya Simu sio rahisi sana kuwazuia.
Sote tunajua utaratibu wa kusajili laini za simu kuwa ni lazima uwe na kitambulisho rasmi je mtu mmoja anaweza vipi kumiliki laini 80 bila kutiliwa shaka? Amewezaje kusajiliwa laini zote hizo kama hana washirika kwenye hayo makampuni ya simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Makampuni ya simu yanafaidika kwenye gharama za kutuma msg.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Mchezo unachezwa na makampuni ya mitandao ya Simu sio rahisi sana kuwazuia.
Sote tunajua utaratibu wa kusajili laini za simu kuwa ni lazima uwe na kitambulisho rasmi je mtu mmoja anaweza vipi kumiliki laini 80 bila kutiliwa shaka? Amewezaje kusajiliwa laini zote hizo kama hana washirika kwenye hayo makampuni ya simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Very true.
 
Aaah tumemsahau yule anayetuma messeji kuwa mimi ni mwalimu mkuu, mtoto wako anaumwa yuko hospitalini sasa hvi anachukuliwa vipimo tafadhali kama umepata ujumbe hu wasiliana na mwalimu wa darasa.
anweka namba...
 
Back
Top Bottom