Tcl tv flat screen yangu haiwaki [msaada] (0) »

Spellan

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
307
Reaction score
15
Wadau wa teknolojia kama yupo anayetumia aina hii ya TV ama mwenye ujuzi nayo anipe darasa kidogo apa. Tv yangu imegoma kuwaka inaonesha taa nyekundu ya "power" ukibonyeza kitufe cha power kwenye remote ili kuwasha inabaki vile vile na ukibofya kitufe cha power kwenye Tv yenyewe red power botton iko vile vile. Nimesoma na kufuata maelekezo yote kwenye instructional manual book lakini imeshindikana. Msaada tafadhali.
 
mara nyingi monitor the LCD,LED zipo sensitive sana kwa power surge,overvoltage au undervoltage,na kama ikitokea hivyo ujue tu jiandae kubadili au kurepair power supply ya monitor yako,inawezekana power supply inashindwa kuwasha circuit ya display.jitahidi kutumia stabilizer au surge protector
ni hayo tu
 
Nashukuru kwa msaada kaka. Kwahiyo inabidi nitafute fundi sio!
 
Nashukuru kwa msaada kaka. Kwahiyo inabidi nitafute fundi sio!

yah!fanya hivyo kwa msaada zaidi,haina gharama sana kurepair kama 50,000/=kama kutakuwa hamna tatizo jingine,ukimpata fundi mzuri,kama upo dar nikuelekeze fundi mzuri yupo maeneo ya msasani,yeye anashughulikia siku hiyo hiyo.
 
Niko mbeya ndugu, ila nimefanya mawasiliano na dukani niliponunua wamesema niende nayo wakaicheki.
 
yah!fanya hivyo kwa msaada zaidi,haina gharama sana kurepair kama 50,000/=kama kutakuwa hamna tatizo jingine,ukimpata fundi mzuri,kama upo dar nikuelekeze fundi mzuri yupo maeneo ya msasani,yeye anashughulikia siku hiyo hiyo.

mkuu flat yangu ya TCL ina miezi 8 sasa hivi inaonyesha chenga chenga tu...msaada wako mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…