ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,986
- 40,100
Kwahiyo mi napenda π€ͺThread Ina mambo pendwa ya mizagamuo π
Jamanii π π π kweli kuna vingi sivijuiItabidi nifanye namna upate jumba lako mpaka upigie makofi naniii...
Bila shaka πKwahiyo mi napenda π€ͺ
Umechelewa kujua HiloTBT 5
inaonyesha wanawake mbele ya hela hawachomoi na wako radhi kutoa penzi kwa highest bidder...hata kama wako kwenye ndoa.
just imagine kipenz chang kapewa bahash tu yenye kibunda akatangulia kiblaπ
mwanamke haridhiki ata apewe billions of money...
Vilevile akiamua kagawa tamuu yake atampa yoyote hivyo mwanamke hachungwi.
Cc leo dada
We hupendiπBila shaka π
Ndio πWe hupendiπ
KumbafuuuuNdio π
ππ Nawewe piaKumbafuuuu
Sawaaπ€ππ Nawewe pia
Baki hapa hapa ukunjwe angali bado mbichi.π π π ngoja niondoke nakomazwa π
Kama wewe umesema mi nani naweka kambiπBaki hapa hapa ukunjwe angali bado mbichi.
TBT 5
inaonyesha wanawake mbele ya hela hawachomoi na wako radhi kutoa penzi kwa highest bidder...hata kama wako kwenye ndoa.
just imagine kipenz chang kapewa bahash tu yenye kibunda akatangulia kiblaπ
mwanamke haridhiki ata apewe billions of money...
Vilevile akiamua kagawa tamuu yake atampa yoyote hivyo mwanamke hachungwi.
Cc leo dada
Wanawake ni viumbe hatari sana aise akitokea highest bidder anapewa tamuu.Boss mwenyewe alikuwa na michepuko kibao. Ya nini kujitesa roho! π
Ewaaaa!Kama wewe umesema mi nani naweka kambiπ
Yaweza kuwa ndio, yaweza kuwa hapana.Wanawake ni viumbe hatari sana aise akitokea highest bidder anapewa tamuu.
Dahaa πYaweza kuwa ndio, yaweza kuwa hapana.
Tuendelee kuenjoy tbt
Ila wanawake wazuri/warembo wanapitia vishawishi sana.